Harmonize kashuka kimuziki

akiachwa na mwanamke ndio hua anakua bora zaidi subiri ashushe mawe
 
Mbona diamond katoa komasava imehit pamoja na hizo issue kuwepo lakini pia kuna ngoma aliyofanya na Jux nayo nayo imehit bila hata kuhusisha wanawake
 
Soko lake huko nje lilikuwa na kubwa sana? Huwa mnafanyaje kujua kuwa kuna demand ya msanii wa kitanzania anahitajika huko, au huwa mna take risk tu kwa kuangalia anavyofanya nchi kadhaa Afrika?
 
Soko lake huko nje lilikuwa na kubwa sana? Huwa mnafanyaje kujua kuwa kuna demand ya msanii wa kitanzania anahitajika huko, au huwa mna take risk tu kwa kuangalia anavyofanya nchi kadhaa Afrika?
1 kuna ile wana Diaspora hasa wa East Africa wana tukio/ sherehe wana request msanii aje kutumbuiza
2 kuna ile nyimbo ya msanii imeenda viral na kupigwa kwenye Club za nje ya nchi. Apo ndo promota wanaandaa show kwenda na upepo huo
3 Kuna ile msanii katoa EP au Album ambayo nyimbo zake nizakupendwa ata nje ya mipaka, promota utafta walau show za Club kusaidia kusambaza kazi za msanii
Kutafta show hvhvi kibubu kuwa fulani atakuepo tarehe fulan ishu inafeli.labda kama ni legend kama alikiba na mondi soko kubwa huku ni watu wa East africa na congo. Kwa wazungu hatujafika

Sasa siku hizi kutoa nyimbo ya kupenya mipaka ndo changamoto Demand inakua haipo kabisa. Sio kama Wasanii wa Naija walivyoliteka soko wao kila mwaka lazima show za nje ya nchi zipigwe. Sisi tuna angalia hivyo vigezo tu. Colabo na wasanii wa nje hazipo, Nyimbo zikiimbwa topic ni dungamawe, kiufupi sijui ndo kulizik ndo unafahamika hiyo inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…