ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mzee wa mizigo mikubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akiachwa na mwanamke ndio hua anakua bora zaidi subiri ashushe maweMoja kwa Moja kwenye mada.
Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki
kipindi bado yupo WCB alikua akitaftiwa collabo na wasanii wa nje ya nchi hasa Nigeria ili ali wini soko hilo la nje kimuziki. Na kutoa nyimbo na wasanii kama Sarkodie, Yemi Alade , Skales, Burnaboy.
Ikumbukwe kuwa hapo nyuma Harmoznize alikuwa na uhusiano wa karibu na msanii Burnaboy. ambapo
Show ya Burna iliofanyika Rwanda alimuitaji Harmozize apande jukwaani licha ya WCB kumkazia na kutofanikiwa.
Kwa hali alionayo sahivi harmonize kimataifa sidhani Kama burnaboy anaweza kumpa nafasi ya collabo pasipo kumlipisha fedha au kwa barua.
Tangu Harmonize alipotoka WCB amekua akitoa ngoma nyingi za ndani kitu ambacho kina mrudisha nyuma na kuliua soko lake la muziki la kimataifa
Ame Base sana na Tanzania kitu ambacho kina mnyima show za nje ya bongo.
Amekua aki perfom kwenye majukwaa ya kisiasa na kutoa Album zisizo na mipango mizuri ya Marketing na ku li WIN soko la kimataifa. Album hizo hazijamjengea soko lolote nje ya mipaka ya Tanzania. Mfano wa AlbumHArmozize kaendelea kuwa Msanii wa ndani na kufanya vizuri kwenye kurasa za instagram kwa kusifika kwa kuwapata wnwke wenye Mashepu. japo ngoma anazozitoa ni nzuri na zinazopendwa na mashabiki hivyo kumpa nafasi ya kutumbuiza kwenye matamasha makubwa ya michezo na serikali.
View attachment 3137373
Kwa kusema hayo Itoshe kusema kuwa Soko la Harmonize nje ya mipaka ya Tanzania limeshuka na kumfanya kuwa msanii wa ndani. Abadilishe Uongozi wake na Management yake kwani hawana maono nae katika biashara ya muziki.
Nawasilisha . .. . Toa maoni yako.
NIkuache shabiki wa ndani na trend za instaHuyu anayetrend ni nani? Wewe huna lolote majungu tu
Mbona diamond katoa komasava imehit pamoja na hizo issue kuwepo lakini pia kuna ngoma aliyofanya na Jux nayo nayo imehit bila hata kuhusisha wanawakeIssue ya P didy imetrend Sana Hivyo ngoma zake alizoachia zote zimeshindwa kupenya kabisa.
Baada ya issues ya P didy ilifatia derby ya simba na yanga.
Means kuna strategies zinhitajika ili hawa wasanii wakae on trending.
Ikiwemo hiyo anayotumia diamond ya wanawake
Harmonize ni limbukeni wa wanawake wacha wamfilisiKimaokoto vipi? Wakati akiwa na kajala bank account ilikuwa inasoma milioni 800 au 900 lakini alivyokuwa na poshy bank acount inasoma milioni 100 au 120 alisema Mwijaku.
Tena sana tu Poshy queenKwa hiyo umefurahi?
🤣🤣🤣Tena sana tu Poshy queen
Soko lake huko nje lilikuwa na kubwa sana? Huwa mnafanyaje kujua kuwa kuna demand ya msanii wa kitanzania anahitajika huko, au huwa mna take risk tu kwa kuangalia anavyofanya nchi kadhaa Afrika?Moja kwa Moja kwenye mada.
Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki
kipindi bado yupo WCB alikua akitaftiwa collabo na wasanii wa nje ya nchi hasa Nigeria ili ali wini soko hilo la nje kimuziki. Na kutoa nyimbo na wasanii kama Sarkodie, Yemi Alade , Skales, Burnaboy.
Ikumbukwe kuwa hapo nyuma Harmoznize alikuwa na uhusiano wa karibu na msanii Burnaboy. ambapovShow ya Burna iliofanyika Rwanda alimuitaji Harmozize apande jukwaani licha ya WCB kumkazia na kutofanikiwa.
Kwa hali alionayo sahivi harmonize kimataifa sidhani Kama burnaboy anaweza kumpa nafasi ya collabo pasipo kumlipisha fedha au kwa barua.
Tangu Harmonize alipotoka WCB amekua akitoa ngoma nyingi za ndani kitu ambacho kina mrudisha nyuma na kuliua soko lake la muziki la kimataifa
Ame Base sana na Tanzania kitu ambacho kina mnyima show za nje ya bongo.
HArmozize kaendelea kuwa Msanii wa ndani na kufanya vizuri kwenye kurasa za instagram kwa kusifika kwa kuwapata wnwke wenye Mashepu. japo ngoma anazozitoa ni nzuri na zinazopendwa na mashabiki hivyo kumpa nafasi ya kutumbuiza kwenye matamasha makubwa ya michezo na serikali.
Amekua aki perfom kwenye majukwaa ya kisiasa na kutoa Album zisizo na mipango mizuri ya Marketing na ku li WIN soko la kimataifa.
Album hizo hazijamjengea soko lolote nje ya mipaka ya Tanzania. Mfano wa Album
View attachment 3137373
Kwa kusema hayo Itoshe kusema kuwa Soko la Harmonize nje ya mipaka ya Tanzania limeshuka na kumfanya kuwa msanii wa ndani.
Abadilishe Uongozi wake na Management yake kwani hawana maono nae katika biashara ya muziki.
Nawasilisha . .. . Toa maoni yako.
1 kuna ile wana Diaspora hasa wa East Africa wana tukio/ sherehe wana request msanii aje kutumbuizaSoko lake huko nje lilikuwa na kubwa sana? Huwa mnafanyaje kujua kuwa kuna demand ya msanii wa kitanzania anahitajika huko, au huwa mna take risk tu kwa kuangalia anavyofanya nchi kadhaa Afrika?