B M F ICONIC
JF-Expert Member
- Jan 28, 2019
- 824
- 1,631
Moja kwa Moja kwenye mada.
Msanii Harmonize kashuka kimuziki upande wa international (nje ya mipaka ya Tanzania) na kawa msanii wa ndani (bongo) pamoja na Africa mashariki
kipindi bado yupo WCB alikua akitaftiwa collabo na wasanii wa nje ya nchi hasa Nigeria ili ali wini soko hilo la nje kimuziki. Na kutoa nyimbo na wasanii kama Sarkodie, Yemi Alade , Skales, Burnaboy.
Ikumbukwe kuwa hapo nyuma Harmoznize alikuwa na uhusiano wa karibu na msanii Burnaboy. ambapovShow ya Burna iliofanyika Rwanda alimuitaji Harmozize apande jukwaani licha ya WCB kumkazia na kutofanikiwa.
Kwa hali alionayo sahivi harmonize kimataifa sidhani Kama burnaboy anaweza kumpa nafasi ya collabo pasipo kumlipisha fedha au kwa barua.
Tangu Harmonize alipotoka WCB amekua akitoa ngoma nyingi za ndani kitu ambacho kina mrudisha nyuma na kuliua soko lake la muziki la kimataifa
Ame Base sana na Tanzania kitu ambacho kina mnyima show za nje ya bongo.
Amekua aki perfom kwenye majukwaa ya kisiasa na kutoa Album zisizo na mipango mizuri ya Marketing na ku li WIN soko la kimataifa.
Album hizo hazijamjengea soko lolote nje ya mipaka ya Tanzania. Mfano wa Album
HArmozize kaendelea kuwa Msanii wa ndani na kufanya vizuri kwenye kurasa za instagram kwa kusifika kwa kuwapata wnwke wenye Mashepu. japo ngoma anazozitoa ni nzuri na zinazopendwa na mashabiki hivyo kumpa nafasi ya kutumbuiza kwenye matamasha makubwa ya michezo na serikali.
Kwa kusema hayo Itoshe kusema kuwa Soko la Harmonize nje ya mipaka ya Tanzania limeshuka na kumfanya kuwa msanii wa ndani.
Abadilishe Uongozi wake na Management yake kwani hawana maono nae katika biashara ya muziki.
Nawasilisha . .. . Toa maoni yako.