Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
March 11 ndio siku ambayo msanii na CEO wa lebo ya KONDE gang music atamtambulisha mwanadada Anjella kama msanii mpya kwenye lebo hiyo, kwa utambulisho huo jumla wa wanamuziki ambao wapo chini ya lebo ya konde music watakua wamefika 7 (Harmonize, Ibrah, Country wiz, Cheed, Skales, Kill na Anjella)
Harmonize ataweza kuwamudu wasanii wote hawa maana wengine aliwatambulisha hata nyimbo hawajatoa mpaka leo, Ibra anaenda kwa kusuasua, Country Wiz haeleweki.
Harmonize ataweza kuwamudu wasanii wote hawa maana wengine aliwatambulisha hata nyimbo hawajatoa mpaka leo, Ibra anaenda kwa kusuasua, Country Wiz haeleweki.