Harmonize kumtambulisha Anjella, Konde Gang

Harmonize kumtambulisha Anjella, Konde Gang

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
March 11 ndio siku ambayo msanii na CEO wa lebo ya KONDE gang music atamtambulisha mwanadada Anjella kama msanii mpya kwenye lebo hiyo, kwa utambulisho huo jumla wa wanamuziki ambao wapo chini ya lebo ya konde music watakua wamefika 7 (Harmonize, Ibrah, Country wiz, Cheed, Skales, Kill na Anjella)

Harmonize ataweza kuwamudu wasanii wote hawa maana wengine aliwatambulisha hata nyimbo hawajatoa mpaka leo, Ibra anaenda kwa kusuasua, Country Wiz haeleweki.

harmonize_tz-___CMBvDS-ndsn___-.jpg
Screenshot_20210305-095024_Instagram.jpg
 
Mmmmmh wee itakua una tatizo nae jingine, ila hili ni kipitio chako tyuuh.
Mimi siyo mnafiki. Amchukue basi yeye Anjella amsaidie.

Anasema eti sikio kukizidi kichwa, kwahiyo huyo Harmonize anatakiwa aache kabisa muziki iki awafurahishe walimwengu kwamba bila WCB hakuna kitu.

Dunia siyo mali ya mtu, soko litaamua.

Always Soldier On 💪💪💪💪💪💪
 
Back
Top Bottom