mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The sun heading to sunset
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]The sun heading to sunset
Huyu bwana mdg alisahaulika mapema sanaBob Junior aliibuka from nowhere akaanza jitapa ni billionaire, haijpita wiki akakamatwa kupelekwa wodi ya vichaa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wimbo mzima full kukohoa
Bob Junior aliibuka from nowhere akaanza jitapa ni billionaire, haijpita wiki akakamatwa kupelekwa wodi ya vichaa.
Mkuu mimi nachojua kwenye maisha maamuzi yoyote unayochukua hukosi wa kusema aidha kwa mazuri au mabaya. Muhimu kusimamia unachoamini na maamuzi yako hakuna atakayekudharau hata siku mojaUmeongea kistaarabu tatizo watanzania ni watu wa ku-dis sana hawana jema, mfano angesema anafanya bure watu wangemdisi tunakizazi cha ajabu ambacho hakina jema
Hiyo million 100 kufanikiwa au kufail soko ndo litakaloamua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKollabo ya nyimbo ipi?
Hiii mi bangi anayimba nakohoa kohoa tu??
Ndo anazitafuta.TARATIBU GEJI INAANZA KUSOMA, HUYU BWANA HELA HANA HIZI NI DALILI ZA MTU ASIEKUWA NA PESA.