Harmonize kutoza 100m kwa 'collab'

Harmonize kutoza 100m kwa 'collab'

Umeongea kistaarabu tatizo watanzania ni watu wa ku-dis sana hawana jema, mfano angesema anafanya bure watu wangemdisi tunakizazi cha ajabu ambacho hakina jema

Hiyo million 100 kufanikiwa au kufail soko ndo litakaloamua
Mkuu mimi nachojua kwenye maisha maamuzi yoyote unayochukua hukosi wa kusema aidha kwa mazuri au mabaya. Muhimu kusimamia unachoamini na maamuzi yako hakuna atakayekudharau hata siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha zingine zinawenyewe

Ova
IMG-20221202-WA0011.jpg
 
Waja mna hasira, acheni chuki pambaneni na nyie mtoke kwenye dimbwi la umaskini,
Umaskini ni sifa mbaya sana na umaskini ni mwanzo wa Roho chafu,

Go Konde Goooo endelea kuwaumiza wenye Roho mbaya ambao Mil.100 wanaisoma kwenye mitandao [emoji23] wakati unailipa ile Mil. 500 walisema huwezi na ukaweza ni wakati wako sasa shiiiiiiiine[emoji3060]
 
Hata akitaka Bil 100 sawa tu hila Mimi na Familya yangu hatuwezi kukaa kusikiliza nyimbo ya Mtz anayeimba kitu inaitwa MUZIKI
 
Back
Top Bottom