Harmonize kuwa makini na acha kiburi

Ndo minashangaa clouds hawapigi nyimbo za domo ila tangazo la Pepsi na lile la diamond Katanga wanagonga
Hayo matangazo wamelipwa hela na makampuni husika na siyo matangazo ya diamond that's the reason behind
 
Nani aliyekwambia kuwa king kaka ndio mlalamikaji wa kuibiwa beat? Get ur facts right
 
Acha wivu, Harmo yuko vizuri. Uno iko poa sana
 
Sasa
nikweli bt jitahd kubalance shobo mkuu, maana hata wewe unachangamoto zako hivo shughulika nazo kuliko kushughulika na zawengne
ingekua hivyo hata wewe saizi ulitakiwa uwe unamkatikia bwanako tu usiingie humu maana hii sio falilia yako na humu hausomi sms za madanga wako. we bibie vipi?
 
Harmo atatoboa tu akaze buti,mimi bado namkubali ingawa nina mashaka na management yake mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…