Ila clouds wananichekeshaga Sana wanaroho mbaya Kama sura ya harmorapa.[emoji23]
Me nimesema taarifa zisizo rasmi ni kwamba haruhusiwi kumuimba chibu.. Lakini yeye anaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila clouds wananichekeshaga Sana wanaroho mbaya Kama sura ya harmorapa.[emoji23]
Me nimesema taarifa zisizo rasmi ni kwamba haruhusiwi kumuimba chibu.. Lakini yeye anaendelea
Ni taarifa zisizo rasmi.. Kwenye clouds na EFM wimbo wa uno ukifika ile sehemu "UNO LA CHIBU LILIMKONDESHA ZARI".. Wanaikatisha
Wanakatisha hapo halafu tangazo la pepsi wanapiga[emoji3][emoji3]
😀😀Daimond hakwepeki, usipomsikiliza utapishana nae barabarani kwenye mabango.Jamaa anawanyoosha ile mbaya
Ndio kwa mujibu wa maelezo ya Babu taleUna uhakika?
Hayo matangazo wamelipwa hela na makampuni husika na siyo matangazo ya diamond that's the reason behindNdo minashangaa clouds hawapigi nyimbo za domo ila tangazo la Pepsi na lile la diamond Katanga wanagonga
Mbona jux kafanya kolabo na chibu? Mbona hawajamkataza?[emoji23]
Me nimesema taarifa zisizo rasmi ni kwamba haruhusiwi kumuimba chibu.. Lakini yeye anaendelea
Jamaa anakaa makazi ya sisimizi hatar sana...Eti chini ya kapeti.
Huko chini ya kapeti unatafuta nini kama sio vumbi?
Nadhani ungerudia kusoma..Nani aliyekwambia kuwa king kaka ndio mlalamikaji wa kuibiwa beat? Get ur facts right
Acha wivu, Harmo yuko vizuri. Uno iko poa sanaHuyu dogo ameshaanza kupotea na kuonyesha makucha yake halisi kwenye jamii, Wiki chache zilizopita alikumbwa na kashfa ya kuwadharau waandishi wa habari wa Kenya, kitu cha kushangaza hakutoa tamko lolote wala kuomba msamaha
Siku za karibuni ametoa wimbo wa "Uno", wimbo ambao umefutwa huko Youtube kwa sababu ameiba beat ya msanii wa kenya aitwae "King Kaka"
Producer wa wimbo wa King Kaka amesema alimuonya Harmonize kuhusu wimbo huo lakini aliambulia "BLOCK" Producer huyo amesema alikuwa tayari kuongea na Harmonize lakini Harmonize alionyesha kiburi na dharau na hakutaka kumsikiliza.
Pia taarifa zilizo chini ya kapeti zinasema. Kuna baadhi ya media zimemuonya Harmonize kumtaja Diamond katika nyimbo zake, lakini Harmonize hajatilia maanani kama alivyofanya kwenye wimbo wa "Uno" amemtaja tena Diamond kwenye wimbo wake mpya unaitwa "Kushoto Kulia".
Harmonize pia alikataa kushiriki kwenye tamasha la Wasafi Festival alilo alikwa na label yake ya zamani
.....
Watu waliopo nyuma ya Harmonize wanampoteza kwa kumpa kiburi na dharau pasipo yeye mwenyewe kujua siku akifilisika hao wote watamkimbia
ingekua hivyo hata wewe saizi ulitakiwa uwe unamkatikia bwanako tu usiingie humu maana hii sio falilia yako na humu hausomi sms za madanga wako. we bibie vipi?nikweli bt jitahd kubalance shobo mkuu, maana hata wewe unachangamoto zako hivo shughulika nazo kuliko kushughulika na zawengne
Ahaa! ndio maaana......!Konde boy vs naseeb junior View attachment 1273750
Konde boy vs naseeb junior View attachment 1273750