Harmonize kuwa makini na acha kiburi

Harmonize kuwa makini na acha kiburi

Ndo minashangaa clouds hawapigi nyimbo za domo ila tangazo la Pepsi na lile la diamond Katanga wanagonga
Hayo matangazo wamelipwa hela na makampuni husika na siyo matangazo ya diamond that's the reason behind
 
Nani aliyekwambia kuwa king kaka ndio mlalamikaji wa kuibiwa beat? Get ur facts right
 
Huyu dogo ameshaanza kupotea na kuonyesha makucha yake halisi kwenye jamii, Wiki chache zilizopita alikumbwa na kashfa ya kuwadharau waandishi wa habari wa Kenya, kitu cha kushangaza hakutoa tamko lolote wala kuomba msamaha

Siku za karibuni ametoa wimbo wa "Uno", wimbo ambao umefutwa huko Youtube kwa sababu ameiba beat ya msanii wa kenya aitwae "King Kaka"

Producer wa wimbo wa King Kaka amesema alimuonya Harmonize kuhusu wimbo huo lakini aliambulia "BLOCK" Producer huyo amesema alikuwa tayari kuongea na Harmonize lakini Harmonize alionyesha kiburi na dharau na hakutaka kumsikiliza.

Pia taarifa zilizo chini ya kapeti zinasema. Kuna baadhi ya media zimemuonya Harmonize kumtaja Diamond katika nyimbo zake, lakini Harmonize hajatilia maanani kama alivyofanya kwenye wimbo wa "Uno" amemtaja tena Diamond kwenye wimbo wake mpya unaitwa "Kushoto Kulia".

Harmonize pia alikataa kushiriki kwenye tamasha la Wasafi Festival alilo alikwa na label yake ya zamani
.....

Watu waliopo nyuma ya Harmonize wanampoteza kwa kumpa kiburi na dharau pasipo yeye mwenyewe kujua siku akifilisika hao wote watamkimbia
Acha wivu, Harmo yuko vizuri. Uno iko poa sana
 
Sasa
nikweli bt jitahd kubalance shobo mkuu, maana hata wewe unachangamoto zako hivo shughulika nazo kuliko kushughulika na zawengne
ingekua hivyo hata wewe saizi ulitakiwa uwe unamkatikia bwanako tu usiingie humu maana hii sio falilia yako na humu hausomi sms za madanga wako. we bibie vipi?
 
Konde boy vs naseeb junior
FB_IMG_1574793057660.jpeg
 
Harmo atatoboa tu akaze buti,mimi bado namkubali ingawa nina mashaka na management yake mpya
 
Back
Top Bottom