Harmonize kuwaburuza wote waliosambaza picha zake Mahakamani

Harmonize kuwaburuza wote waliosambaza picha zake Mahakamani

"Intellectual"

Hilo neno lilipaswa kukuonyesha ni wapi tunatumia Patent.
Sasa ulipokuwa unasema Patent zinatumiwa kwenye madawa tu ulikuwa unataka utuoneshe upumbavu wako!?

Soma:

An intellectual (from the adjective meaning “involving thought and reason“) is a person who tries to use his or her intelligence and analytical thinking, either in their profession or for the benefit of personal pursuits.
 
Kukaa uchi ni sehemu ya kazi yake!?
Unaakili kweli wewe!?
Lini Harmonize ulimuona yupo uchi katika kazi yake!?
Inategemea wewe una define vipi uchi
Lakini kisheria tunaangalia a reasonable man (na uhakika wewe sio mmoja wapo ) i.e mtu aliyestaarabika kwa mazingira/jamii ya kitanzania anavaaje!!??
 
We jamaa unapuyanga mno. Business name sio lazima iwe trademark na ikitokea ikawa basi ni lazima iandikwe tofauti. Usajili wa business name na trade mark ni tofauti. Sasa ukisema harmonize ni trade mark unaweza kuleta picha yoyote inayoonesha utofauti wake na maandishi mengine.

Msanii kusajiliwa Basata haina maana kwamba sasa ana umiliki wa hilo jina labda kama ni lake la kuzaliwa. Mfano kuna msanii anaitwa Tanzanite, hata kama Basata wanamtambua bado yeye hana umiliki wote wa hilo jina.

Harmonize sio jina jipya labda ulikuwa haujui hilo. Na hizo taasisi ulizotaja ukitoa BRELA hazihusiki na usajili wa majina liwe la kampuni au mtu binafsi.
Sheria inahitaji Jina liwe limesajiliwa na Basata. Na pia Cosota pamoja na Brela. Kwa wasanii wengi wamefanya hivyo. Lakin kwenye kudraft dokomenti ya kesi inayohusu msanii Kuna option ya kuandika majina rasmi na hyo aka ya mtu husika kwa mbele ama kuiwekea mabano ama alama za funga semi.
 
Inategemea wewe una define vipi uchi
Lakini kisheria tunaangalia a reasonable man (na uhakika wewe sio mmoja wapo ) i.e mtu aliyestaarabika kwa mazingira/jamii ya kitanzania anavaaje!!??
[emoji1][emoji1][emoji1] hivi Kuna Jinsi ya kudefine uchi??
 
Sheria inahitaji Jina liwe limesajiliwa na Basata. Na pia Cosota pamoja na Brela. Kwa wasanii wengi wamefanya hivyo. Lakin kwenye kudraft dokomenti ya kesi inayohusu msanii Kuna option ya kuandika majina rasmi na hyo aka ya mtu husika kwa mbele ama kuiwekea mabano ama alama za funga semi.
Hizo AKA kusajiliwa Basata haina maana kama huyo msanii ndie mmiliki pekee wa kisheria wa hilo jina. Brela ukienda sio kila jina linapitishwa kwa kuwa tu umeamua kujiita hivyo. Basata na Cosota hawahusiki na kuhalalisha majina ya ziada. Kila Taasisi ina kazi yake chukua muda wako kusoma kazi za hizo taasisi.

Kuandaa legal document na kuweka hayo majina ya ziada haina shida sababu tayari umeweka jina lake la ukweli lakini pia inategemea hilo kosa ulifanyiwa kwa jina lako au la ziada, kama ni la ziada hiyo ni shughuli nyingine tena mnaanza.
 
KUNA LA KUJIFUNZA HAPO
Haya mambo ya kupiga video call
Unamuonesha mtu utupu wako
Watu wengine wanaweza kuku record
Na wakaitumia video hiyo kukulaghai
Kwa vitisho,kutaka mpunga fulani usipowapa
Wanairusha hewani kama wee maarufu au una familia hutaki kuchafuka lazima uzame mfukoni uwapoze..

HILOO ANGALIZOO TU

Ova
 
Back
Top Bottom