Harmonize kuwaburuza wote waliosambaza picha zake Mahakamani

Harmonize kuwaburuza wote waliosambaza picha zake Mahakamani

Alitaka kumfunga kwa sababu wakati huo Harmonize alikuwa baba mlezi wa Paula
Baba mlezi ambaye behind the scene anataka naye kumla anaye mlea.

🤣🤣🤣🤣

Sasa kosa alilo lifanya Rayvanny na Harmonize lina tofauti gani?
 
Trade Mark ni pamoja na:-
1. Business Name
2. Slogan
3. Nembo
Nk.
Vilevile watu huwa wanasajili ideas
Hiyo inaitwa Patent.
Ndiyo maana nilimwambia entities huwa hazisajiliwi pekee NIDA na RITA.
Patent ni kwenye dawa..
 
Haupo ushahi huo. Ndio maana anawashitaki wote wanaomchafua baba mlezi.
🤣🤣🤣🤣

Baba mlezi ushahidi si zile msg alizopost Vany na Rayvany kaandika ktk page yake ya insta ambayo ni certified na kamtag yeye Harmonize.

Kama kweli zile msg si zake,kwa kile tu alicho kiandika Rayvanny kinatosha kabisa kwenda kumshtaki Rayvany na si hiyo mikwara kwani lile gazeti alilo lindika Rayvanny tayari lisha mchafua Harmonize na inaonekena ni kweli alimtongoza MWANAE MLEZI ambaye yeye mwenyewe kipindi kile cha kesi ya Vany alidai MWANAE ni MWANAFUNI.

Kwa hiyo baba mlezi alimtumia picha za uchi kwa nia ya kumla mwanae mlezi ambaye ni mwanafunzi.

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Alaf ijulikane pia Harmonize tunampeleka mahakaman Kwa kosa la kumtishia kumuua Maimartha Jesse 😂
 
Patent ni kwenye uvumbuzi wa kisayansi.na kuna namna uvumbuzi huo unaisha umiliki..Cosota ni copyrights.
Screenshot_20210415-100706.png
 
🤣🤣🤣🤣

Baba mlezi ushahidi si zile msg alizopost Vany na Rayvany kaandika ktk page yake ya insta ambayo ni certified na kamtag yeye Harmonize.

Kama kweli zile msg si zake,kwa kile tu alicho kiandika Rayvanny kinatosha kabisa kwenda kumshtaki Rayvany na si hiyo mikwara kwani lile gazeti alilo lindika Rayvanny tayari lisha mchafua Harmonize na inaonekena ni kweli alimtongoza MWANAE MLEZI ambaye yeye mwenyewe kipindi kile cha kesi ya Vany alidai MWANAE ni MWANAFUNI.

Kwa hiyo baba mlezi alimtumia picha za uchi kwa nia ya kumla mwanae mlezi ambaye ni mwanafunzi.

🤣🤣🤣🤣🤣
Hiyo ni kesi nyingine tofauti na kesi aliyoifungua Harmonize.
Hata kama mtu akikutukana na kukutusi haihalalishi wewe kumpiga.

So kitendo cha Rayvan kuweka hadhalani faragha ya Harmonize ni kosa kisheria.

Yeye amepata wapi hizo Video Call!? Wakati yeye ni third party!?
Kwanini baada ya kuzipata hizo SMS na video hakuweza kumshauri Paula aende Mahakamani!?
Hapa kesi iliyopo ni Rayvan na wenzake:-
1. Kuingilia faragha ya Harmonize
2. Kusambaza kwa lengo la kumchafua ambayo ni kosa kwa mujibu wa cyber crime law.
3. Kutuma taarifa za uongo na kuunganisha mazungumzo ya Mpenzi wake(Kajala) na mtoto wake wa kambo(Paula) ili aonekane anamtongoza.
 
Alaf ijulikane pia Harmonize tunampeleka mahakaman Kwa kosa la kumtishia kumuua Maimartha Jesse 😂
Hapo unatishia nyau. Hakuna ushahidi kama huo. Jipangeni na nyie kwa namna yenu.
 
Nimekupata sana mkuu wangu young solicitor maana kuna mahali nilikua namsikiliza laywer fln akaniambia fine ya kuonesha faragha ya mtu ni 20bil... niliogopa sana..
Katika ku award damage katika kesi za defamation the court have to consider the status of a defamed person in the society.
Sasa kwa uzoefu wangu hiyo amount ni kubwa sana kwa harmo, kuna kase ya Dr. Salim hakulipwa hela nyingi hivyo, hata recent case ya Membe hajaomba hela nyingi hivyo sasa sembuse harmo ambaye kukaa uchi ni sehemu ya kazi yake.
Me I'll go for 100m
 
Kukaa uchi ni sehemu ya kazi yake!?
Unaakili kweli wewe!?
Lini Harmonize ulimuona yupo uchi katika kazi yake!?
 
Ataweza kuithibitishia Korti Pasi na shaka kwamba Hiyo mashine ya kusaga na kukoboa sio yake??Labda Kama Ni kuwakomoa tu walio na wanaosambaza Ila sidhani Kama anaweza kujisafisha kwa namna yoyote Katika Hili.
Wala haitaji kuithibitishia mahakama pasi na shaka yaani "beyond reasonable doubt" kana kwamba hiyo ni kesi ya jinai. Hapo kuna kesi ya madai tu ktk kuithibitisha hakuna wajibu mkubwa kulinganisha na jinai huku ni "at preponderance of probability"

Yeye atathibitisha elements za kile anachoshtaki tu, suala la uongo au ukweli yaweza kuwa si tija, suala ni je sheria inasemaje?
 
Hapo unatishia nyau. Hakuna ushahidi kama huo. Jipangeni na nyie kwa namna yenu.

Harmonize huwa ana sifa moja , kila tukio anaacha Ushahidi 😀😂🤣

Hiyo ni kesi nyingine tofauti na kesi aliyoifungua Harmonize.
Hata kama mtu akikutukana na kukutusi haihalalishi wewe kumpiga.

So kitendo cha Rayvan kuweka hadhalani faragha ya Harmonize ni kosa kisheria.

Yeye amepata wapi hizo Video Call!? Wakati yeye ni third party!?
Kwanini baada ya kuzipata hizo SMS na video hakuweza kumshauri Paula aende Mahakamani!?
Hapa kesi iliyopo ni Rayvan na wenzake:-
1. Kuingilia faragha ya Harmonize
2. Kusambaza kwa lengo la kumchafua ambayo ni kosa kwa mujibu wa cyber crime law.
3. Kutuma taarifa za uongo na kuunganisha mazungumzo ya Mpenzi wake(Kajala) na mtoto wake wa kambo(Paula) ili aonekane anamtongoza.
Hiyo kesi ipo wapi? Hizo taarifa si za uongo,kama ungekuwa uongo leo hii Rayvany angekuwa yupo mahakamani na ndio maana katoa mkwara tu.

Zile picha Rayvanny anazo na ndio maana kwa kujiamini kapost na hata wakienda mahakamani,still Harmonize atakuwa ana kesi ya kusambaza picha za uchi,kwa mwanamke ambaye yeye mwenyewe ANADAI NI MWANAFUNZI 🤣🤣 ambalo ni kosa kisheria.
 
Sasa mbona maelezo yako wazi mkuu..huwezi kutunga wimbo ukaenda kuusajili cosota wakupe patent..kwanza hawahusiki na mambo hayo na ni kitu ambacho hakipo.

Patent rights ni kwenye uvumbuzi..mambo ya sanaa na brand copyrights na trademarks mtawalia.
Sasa unajifanya huoni palipoamdikwa:

A patent is often referred to as a form of intellectual property right,[8][9] an expression which is also used to refer to trademarks and copyrights
 
Trade Mark ni pamoja na:-
1. Business Name
2. Slogan
3. Nembo
Nk.
Vilevile watu huwa wanasajili ideas
Hiyo inaitwa Patent.
Ndiyo maana nilimwambia entities huwa hazisajiliwi pekee NIDA na RITA.
We jamaa unapuyanga mno. Business name sio lazima iwe trademark na ikitokea ikawa basi ni lazima iandikwe tofauti. Usajili wa business name na trade mark ni tofauti. Sasa ukisema harmonize ni trade mark unaweza kuleta picha yoyote inayoonesha utofauti wake na maandishi mengine.

Msanii kusajiliwa Basata haina maana kwamba sasa ana umiliki wa hilo jina labda kama ni lake la kuzaliwa. Mfano kuna msanii anaitwa Tanzanite, hata kama Basata wanamtambua bado yeye hana umiliki wote wa hilo jina.

Harmonize sio jina jipya labda ulikuwa haujui hilo. Na hizo taasisi ulizotaja ukitoa BRELA hazihusiki na usajili wa majina liwe la kampuni au mtu binafsi.
 
Sasa unajifanya huoni palipoamdikwa:

A patent is often referred to as a form of intellectual property right,[8][9] an expression which is also used to refer to trademarks and copyrights
Sasa kama patent ni mawazo kwa tafsriri yako basi inabidi yakasajiliwe BRELA na sio Cosota kama ulivyosema. Hujaelewa hiyo maana uliyoleta pia, patent, trademark na copyrights zote ni intellectual properties lakini haina maana patent ni trademark na copyrights.
 
Back
Top Bottom