joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Baba mlezi ambaye behind the scene anataka naye kumla anaye mlea.Alitaka kumfunga kwa sababu wakati huo Harmonize alikuwa baba mlezi wa Paula
🤣🤣🤣🤣
Sasa kosa alilo lifanya Rayvanny na Harmonize lina tofauti gani?