Mkuu mimi sio mwanasheria naelewa tu aspects za contract law, tort (ni mambo ambayo yanafundishwa kwenye masomo ya biashara) na admin law just because it’s straight forward.
For my one cent nadhani anaweza mshitaki mtu kutumia jina ‘harmonize’ kwenye sanaa, but not in other aspects kwa sababu hilo neno ajalibuni yeye.
Lakini awezi kuwa na exclusive rights za neno ‘jeshi’ wala ‘tembo’ those are just common nouns na kuna misemo mingi ya kila siku inayoambatana na hayo majina. Mfano ‘jeshi la mtu mmoja’ sio term aliyobuni yeye na ‘tembo ni mnyama’ uwezi kuzuia mwingine kujiita ivyo.
Mwisho wa siku mkuu niwe mkweli what harmonize does au bongo celebrity kwa ujumla wao wengine sio vitu vinavyo tu interest vile, ni habari ambazo tunakutana nazo kwenye social media.
But honestly speaking even if harmonize akijirusha darajani sio kitu kitakacho kaa kichwani kwangu zaidi ya dakika 10 and that goes to all bongo celebrities all the way to diamond.