Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Sasa ulipokuwa unasema Patent zinatumiwa kwenye madawa tu ulikuwa unataka utuoneshe upumbavu wako!?"Intellectual"
Hilo neno lilipaswa kukuonyesha ni wapi tunatumia Patent.
Inategemea wewe una define vipi uchiKukaa uchi ni sehemu ya kazi yake!?
Unaakili kweli wewe!?
Lini Harmonize ulimuona yupo uchi katika kazi yake!?
Sheria inahitaji Jina liwe limesajiliwa na Basata. Na pia Cosota pamoja na Brela. Kwa wasanii wengi wamefanya hivyo. Lakin kwenye kudraft dokomenti ya kesi inayohusu msanii Kuna option ya kuandika majina rasmi na hyo aka ya mtu husika kwa mbele ama kuiwekea mabano ama alama za funga semi.We jamaa unapuyanga mno. Business name sio lazima iwe trademark na ikitokea ikawa basi ni lazima iandikwe tofauti. Usajili wa business name na trade mark ni tofauti. Sasa ukisema harmonize ni trade mark unaweza kuleta picha yoyote inayoonesha utofauti wake na maandishi mengine.
Msanii kusajiliwa Basata haina maana kwamba sasa ana umiliki wa hilo jina labda kama ni lake la kuzaliwa. Mfano kuna msanii anaitwa Tanzanite, hata kama Basata wanamtambua bado yeye hana umiliki wote wa hilo jina.
Harmonize sio jina jipya labda ulikuwa haujui hilo. Na hizo taasisi ulizotaja ukitoa BRELA hazihusiki na usajili wa majina liwe la kampuni au mtu binafsi.
[emoji1][emoji1][emoji1] hivi Kuna Jinsi ya kudefine uchi??Inategemea wewe una define vipi uchi
Lakini kisheria tunaangalia a reasonable man (na uhakika wewe sio mmoja wapo ) i.e mtu aliyestaarabika kwa mazingira/jamii ya kitanzania anavaaje!!??
Hizo AKA kusajiliwa Basata haina maana kama huyo msanii ndie mmiliki pekee wa kisheria wa hilo jina. Brela ukienda sio kila jina linapitishwa kwa kuwa tu umeamua kujiita hivyo. Basata na Cosota hawahusiki na kuhalalisha majina ya ziada. Kila Taasisi ina kazi yake chukua muda wako kusoma kazi za hizo taasisi.Sheria inahitaji Jina liwe limesajiliwa na Basata. Na pia Cosota pamoja na Brela. Kwa wasanii wengi wamefanya hivyo. Lakin kwenye kudraft dokomenti ya kesi inayohusu msanii Kuna option ya kuandika majina rasmi na hyo aka ya mtu husika kwa mbele ama kuiwekea mabano ama alama za funga semi.
Si uchi tu sheria ina define hadi usiku[emoji1][emoji1][emoji1] hivi Kuna Jinsi ya kudefine uchi??