Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Taarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.

Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na Eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
 
Taarifa nilizonazo Ni Kwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.

Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Ninauhakika wewe ni under 18. Hujui maisha, bado unakula kwa baba wa kambo. Vilevile wewe una kibamia.

Isuue za kufuatilia maisha ya mwanaume mwenzako ni ushoga.
 
Back
Top Bottom