Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Taarifa nilizonazo Ni Kwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.

Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Msipende kuiongelea mifuko ya watu kwa kuongozwa na hisia.
 
Nitakutumia Pm demand notice ya kukumbushwa Kodi, uharibifu wa Nyumba na Lease Agreement Kati na Eng. Usiri na mkimbia Kodi
Nikiiona ndio nitakuamini😅😅😅
 
Kwa thread hii sidhan hata una kibanda cha kuishi,.
Hahaha Mm Nakaa Kwangu Na Nafanya Kazi, Sihitaji kuishi kwa Mtu mKuu
 
Huo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
Hata mm hayo maish nayaish Sana ilimradi tu nisumbuee ata Kama ninazo nazingua mno had watulie nawape nikiona wametulia ..Kuna mama mwenye nyumba ananidai kod ya miez miwili had kaamua kutulia Nampa kwa mwez mwez tu kaandika msg za vitisho bila majibu Niko dar geto liko singida
 
Huo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mm hayo maish nayaish Sana ilimradi tu nisumbuee ata Kama ninazo nazingua mno had watulie nawape nikiona wametulia ..Kuna mama mwenye nyumba ananidai kod ya miez miwili had kaamua kutulia Nampa kwa mwez mwez tu kaandika msg za vitisho bila majibu Niko dar geto liko singida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom