Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

mama D, mwanao Harmo Kimeumana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20210417-133449.jpg
 
Changamoto za maisha hizi dah[emoji26][emoji26][emoji26]

Mungu amfanyie wepesi Rajab
Hili ndi la Kumuombea na Wala Hata Mm sifurahi, Kuna Mda Beki hazikabi unaamua kurudisha Mpira kwa Nyanda[emoji4][emoji4]
 
Akili za Kijinga, Njoo Hyo Trh. 19/04 Uone Kama Ni za Kugushi
Nimekuambia hizo ni issue za kughushi. Serikali haifanyi kazi kupitia mitandao.
Acha umbumbumbu ndio maana mnapelekwa mahakamani na na genge lako kwa ushamba huu.
 
Haya hizi za Kugushi
Ndio ni za kughushi. Kwa kuandika hicho kijarada ndio ushahidi. Ondoa utoto wewe. Mnatumia kila njia kumchafua kijana wa watu.

Acha ushamba mpumbavu wewe. Udhani wote humu ni watoto kama wewe!?
 
Ndio ni za kughushi. Kwa kuandika hicho kijarada ndio ushahidi. Ondoa utoto wewe. Mnatumia kila njia kumchafua kijana wa watu.

Acha ushamba mpumbavu wewe. Udhani wote humu ni watoto kama wewe!?
[emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]..... Wa Kwetu Punguza Povu, Hizi battle haziitaji Hasira hata Kidogo [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila Kukicha
Rayvanny mbona upo kama wavaa dera Kule buza
 
[emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]..... Wa Kwetu Punguza Povu, Hizi battle haziitaji Hasira hata Kidogo [emoji3][emoji3][emoji3]
Battle alizianza Runge akafa sembuse wewe mshamba tu. Battle za kwenye social media!? Ungekuwa kweli unajiamini ungeleta Jina lako na ujitokeze tukuone kama kweli unaweza battle.
 
Battle alizianza Runge akafa sembuse wewe mshamba tu. Battle za kwenye social media. Ungekuwa kweli unajiamini ungeleta Jina lako na ujitokeze tukuone kama kweli tunaweza battle.
Hii Battle Ni Kimya² Wa Kwetu, una Kisugar hatari [emoji867][emoji867][emoji3][emoji3]
 
Hii Battle Ni Kimya² Wa Kwetu, una Kisugar hatari [emoji867][emoji867][emoji3][emoji3]
Huwezi. Nina uhakika huweiwezi hiyo battle na wenzio. Mtapotea mkiendekeza utoto. Msidhani Harmonize yupo pekee yake.
Badala ya kutunga music mshindane music mnaanza kufuatilia personal life ya mtu!?
 
Kaleta barua ila yote kwa yote iwe kweli au uongo maisha yana changamoto nyingi
Ila harmo hajashindwa lipa kodi

Hizi ni fitna za kibiashara na Mungu atamfanyia wepesi
Vannygirl na mama Levo wanatabu sana

Afu bosi wao kimya hakemei utazani yupo sayari ya 9
 
Back
Top Bottom