Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila KukichaNi hivyo tu....Au kuna lingine..? Mtu kuishiwa mbona kawaida..?
Msaidieni Kumlipia Kodi Iliyobaki ya Hyo Miezi Sita. Kodi Yenyewe Alikuwa analipa Sarah Mzungu [emoji3526][emoji3526][emoji3][emoji3]Tumekusikia rayvan
Ninauhakika wewe ni under 18. Hujui maisha, bado unakula kwa baba wa kambo. Vilevile wewe una kibamia.Taarifa nilizonazo Ni Kwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
[emoji106]Wasanii huwa wanaishi maisha ghali sana,afu baadae wanafulia,ni heri upange nyumba nzima ya kawaida mlandizi baadae ujenge yako huko maporini nyumba kali
Najua Kaka na Nina evidence, kwanza uaharibu alioufanya, Pili demand notice ya kukumbushwa kulipa Kodi, pia demand ya Eng. Usiri Kutaka Kukagua Nyumba yake Kulingana na Mahitaji ya Mkataba.We baba levo hizi habari umeziskia wapi
Kipi chanzo chako
[emoji2936][emoji2935]Wasanii huwa wanaishi maisha ghali sana,afu baadae wanafulia,ni heri upange nyumba nzima ya kawaida mlandizi baadae ujenge yako huko maporini nyumba kali
Huu ni msemo wetu masikini 🤣🤣Ni hivyo tu....Au kuna lingine..? Mtu kuishiwa mbona kawaida..?
Team Njomba Chumali Mmekuwa Wakali Sana [emoji3][emoji3][emoji3]Acha kufuatilia maisha ya wanaume, utavishwa shanga.
Mama d Sio Za Kusikia² Bana, Nina uhakika 100% Muulize kwa Sasa Anakaa wapiHabari za kusikia sikia
Umeongea safi kabisaHuo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
Kanuni inajulikana mwanaume kufanya umbea maana yake yupo na hormone za kike au una kibamiaTeam Njomba Chumali Mmekuwa Wakali Sana [emoji3][emoji3][emoji3]
Mama d Sio Za Kusikia² Bana, Nina uhakika 100% Muulize kwa Sasa Anakaa wapi