Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Msipende kuiongelea mifuko ya watu kwa kuongozwa na hisia.
 
Nitakutumia Pm demand notice ya kukumbushwa Kodi, uharibifu wa Nyumba na Lease Agreement Kati na Eng. Usiri na mkimbia Kodi
Nikiiona ndio nitakuamini😅😅😅
 
Hahaha Mm Nakaa Kwangu Na Nafanya Kazi, Sihitaji kuishi kwa Mtu mKuu
 
Huo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
Hata mm hayo maish nayaish Sana ilimradi tu nisumbuee ata Kama ninazo nazingua mno had watulie nawape nikiona wametulia ..Kuna mama mwenye nyumba ananidai kod ya miez miwili had kaamua kutulia Nampa kwa mwez mwez tu kaandika msg za vitisho bila majibu Niko dar geto liko singida
 
Huo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni maisha yake binafsi, wala hayatuhusu sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…