daktari feki
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 166
- 122
Hii taarifa imekaa kipumbavu zaidiTaarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Wewe ni mke wa mwenye nyumba? Tuanze na hilo.Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila Kukicha
"Mbezi Beach nimehama siku hizi nipo mbweni anajikosha,Awiiiiii" - Harmo.Taarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Mama d Sio Za Kusikia² Bana, Nina uhakika 100% Muulize kwa Sasa Anakaa wapi
Ile iliwafungua wasanii macho ,hadi Kigosi Ray naye alikuwa hana hata kiwanja cha 20 kwa 20.Tuliambawa Marehem K ni milionea...baada ya msiba kumbe ana Noah na camera..
Kweli kabisaIle iliwafungua wasanii macho ,hadi Kigosi Ray naye alikuwa hana hata kiwanja cha 20 kwa 20.
[emoji16][emoji16][emoji16]MuueHuo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
Najua Kaka na Nina evidence, kwanza uaharibu alioufanya, Pili demand notice ya kukumbushwa kulipa Kodi, pia demand ya Eng. Usiri Kutaka Kukagua Nyumba yake Kulingana na Mahitaji ya Mkataba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah kama haya ni ya kweli bhac Harmonize ni mjinga mnooMpunga wote alikomba Kajala , na alimkopa pesa ndefu Sana mshikaji , sasa mwamba amebaki empty headed huku nyeti zake zikiwa wazi ...ogopa Sana kitu mwanamke , kuna mengi mwanamke aliongea na Shetani pale Edeni...!!!
Ashamtaja mpaka mmiliki wa nyumbaHabari za kusikia sikia
Uncle Wangu Mtaratibu Sana.Eng Usiri mzee mtaratibu sana, amewahi kuwa mzee wetu wa Usharika Mbezi beach Lutheran.
Chondechonde wewe mmakonde lipa pesa za mzee wa watu kabla hayajakukuta mabaya
Kamleta awilo na vic kimani. Vijana wana pesa hawa bwanaTaarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Nakumbuka mwaka Jana alikuwa anadaiwa m. 30 ya Kodi Mpaka Sasa Imepanda Hadi m.50Ashamtaja mpaka mmiliki wa nyumba
Haya leteni sasa na nyie[emoji23]
Usianze ligi sasa[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ova
Acha Kejeli Kwa Njomba Nchumali KakaKamleta awilo na vic kimani. Vijana wana pesa hawa bwana
Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila Kukicha
Hata simkejeli mimi ninawaheshimu kama mtu anaweza panga ghorofa 800$-1500$ hata kwa miezi sita mimi ninampa Asalaam Aleikhum.Acha Kejeli Kwa Njomba Nchumali Kaka