Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Tetesi: Harmonize kwa sasa ana hali mbaya kifedha, mpaka nyumba ya Mbezi Beach amehama

Eng Usiri mzee mtaratibu sana, amewahi kuwa mzee wetu wa Usharika Mbezi beach Lutheran.

Chondechonde wewe mmakonde lipa pesa za mzee wa watu kabla hayajakukuta mabaya
Hadi sasa mzee wa kanisa.
 
Ivi kwann hawajengag hawa kiwanja uko boko madale ama bunju kigambon kwa 10m unapata cha maana kabisa sqm ata elf moja na kitu na nyumba ata 30m ina simama apa ndo uwa mashaka na hawa wasanii wetu yan mtu anaingiza ata 100m kwa mwaka anashindwa kujenga mfanyakaz wa lak 5 anajenga kwa mkopo

A
Harmonize alikuwa anajenga mivumoni mwisho, sasa sijui kama ni kati ya nyumba alizouza kuwalipa wcb au bado anayo sijui. Ila alikuwa anajenga sehemu nlipokuwa ninaishi jirani tu sema nilihama huko 2019
 
Nakumbuka mwaka Jana alikuwa nanadaiwa m. 30 ya Kodi Mpaka Sasa Imepanda Hadi m.50
Doh hawa wasanii wapunguze kufake maisha
Sasa bora angejikalia mbagala au chamazi tu

Ova
 
Ustaarabu ni wa kuzaliwa nao
Ushamba na ulimbukeni ni wa kuzaliwa nao
Elimu ni kitu muhimu sana
Ujinga ndio tatizo kubwa
Pakawa kwenye huu uzi nimeshuhudia utoto ,ujinga na upuuzi mwingi sana, majibu yasiyo na staha nk.. Ndio maana kumbe huwa nikiweka uzi huku natimuliwa[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole Sana Mkuu.
giphy.gif
 
Najua Kaka na Nina evidence, kwanza uaharibu alioufanya, Pili demand notice ya kukumbushwa kulipa Kodi, pia demand ya Eng. Usiri Kutaka Kukagua Nyumba yake Kulingana na Mahitaji ya Mkataba.

Leta uthibitisho meza[emoji41]
 
Taarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.

Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.

Na siri za kugongwa Na harmonize uzitoe
 
Hahahahaaaa you just made my day mkuu lazima usingiziwe vimbwanga vingine maraMTT ni wako Mara ukane, Mara ukubali..hahaa kama ni kavulana mamayako aanze kushitaki kwa mzee anaona wageni vimitetea (visichana) vinaingia ingia chumbani kwako hakuelewi..just joking wajamen..in Uhuru Kenyata's voice..
Huo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
you
 
Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila Kukicha

So tukusaidiaje?
 
Back
Top Bottom