Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Baada ya hii comment sikuona tena umuhimu wa mjadala kuendelea. Ulimalizaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Huo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
Hadi sasa mzee wa kanisa.Eng Usiri mzee mtaratibu sana, amewahi kuwa mzee wetu wa Usharika Mbezi beach Lutheran.
Chondechonde wewe mmakonde lipa pesa za mzee wa watu kabla hayajakukuta mabaya
Harmonize alikuwa anajenga mivumoni mwisho, sasa sijui kama ni kati ya nyumba alizouza kuwalipa wcb au bado anayo sijui. Ila alikuwa anajenga sehemu nlipokuwa ninaishi jirani tu sema nilihama huko 2019Ivi kwann hawajengag hawa kiwanja uko boko madale ama bunju kigambon kwa 10m unapata cha maana kabisa sqm ata elf moja na kitu na nyumba ata 30m ina simama apa ndo uwa mashaka na hawa wasanii wetu yan mtu anaingiza ata 100m kwa mwaka anashindwa kujenga mfanyakaz wa lak 5 anajenga kwa mkopo
A
Doh hawa wasanii wapunguze kufake maishaNakumbuka mwaka Jana alikuwa nanadaiwa m. 30 ya Kodi Mpaka Sasa Imepanda Hadi m.50
Bila shakaHadi sasa mzee wa kanisa.
Pakawa kwenye huu uzi nimeshuhudia utoto ,ujinga na upuuzi mwingi sana, majibu yasiyo na staha nk.. Ndio maana kumbe huwa nikiweka uzi huku natimuliwa[emoji38][emoji38][emoji38]Ustaarabu ni wa kuzaliwa nao
Ushamba na ulimbukeni ni wa kuzaliwa nao
Elimu ni kitu muhimu sana
Ujinga ndio tatizo kubwa
Van boy sioTumekusikia rayvan
Pole Sana Mkuu.Pakawa kwenye huu uzi nimeshuhudia utoto ,ujinga na upuuzi mwingi sana, majibu yasiyo na staha nk.. Ndio maana kumbe huwa nikiweka uzi huku natimuliwa[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua Kaka na Nina evidence, kwanza uaharibu alioufanya, Pili demand notice ya kukumbushwa kulipa Kodi, pia demand ya Eng. Usiri Kutaka Kukagua Nyumba yake Kulingana na Mahitaji ya Mkataba.
Taarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Anastahili pongezi kubwaLabda atakuwa amemaliza mjengo wake[emoji205]View attachment 1755247
Na siri za kugongwa Na harmonize uzitoeTaarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii Huyo Amehama usiku kwa Kuhamisha Vitu vyake Vyote Ndani Mpaka akachukua na Curtain boxer, Mpaka Sasa Msanii Huyo anatafutwa na eng. Usiri Hili alipe Kodi yake ya Miezi 6, na pia amefanya uharibu mKubwa Ndani Ya Hyo Nyumba.
Hahahaha rayvan nyegezi hahahahaTumekusikia rayvan
youHuo ndo urijali sasa, rijali sharti adaiwe, akimbie deni, mara kalipa, mara vile ili mradi purukushani,
Ukihama hapo kwa shemeji yako ndio utajua maana halisi ya maisha ya rijali.
Amefanya Uharibifu mKubwa Sana Kwenye Hyo Nyumba. Hata Baada ya Kupewa notisi na Mwenye Nyumba ya Kwenda Kukagua Nyumba akawa anapiga chenga Tu Kila Kukicha