Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Sina nia ya kumdharau mtu, lakini ukweli lazima usemwe.
Harmonize ni Msanii mkubwa kwa sasa hapa Tanzania, ukitafuta Wasanii watatu wanaofanya vizuri kwa sasa hapa Tanzania huwezi mkosa Harmonize.
Harmonize ana weza fanya show mkoa wowote hapa Tanzania kwa kuwa show nyingi za hapa Tanzania kwa Wasanii wetu wanatafutwa, hazitaji exposure wala mikakati au uelewa wa mambo saaana, Msanii unaitwa njoo upige show Fiesta, ukikubaliana na dau lao unaenda.
Harmonize kwa sasa yuko kwenye kilele cha juu cha kipaji chake, na Kijana ni mbunifu, ana nidhamu ya kazi na mchapakazi.
Kwa namna ilivyo ni muda wake sasa wa kufanya show kubwa za kimataifa kama wanazofanya wasanii wakubwa wa Nigeria. Tatizo ni aliyenyuma ya Harmonize, anayesikilizwa kuliko watu wote, Manager Kajala Masanja, je ana uwezo wa kumfikisha Harmonize kwenye level za akina Wizkid, Davido etc?
Kajala ni mbobevu kule ambako sura tu au umbile liinamfanya mtu awe Msanii mkubwa hata bila kipaji kwa hapa Tanzania. Huku kwenye music hataweza mfikisha popote Mmakonde
Si kwa nia mbaya, Harmonize you need an aggressive Management, Watu wenye connection, uelewa mkubwa wa mambo ya music na watu wanaoweza kuforce network.
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.