Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Alitakiwa aseme yeye bado Sana ndo mana amekacha na fedha za watu kwenda Canada , huku nyuma anatakiwa awalipe Killy na Cheedmletamada anataka atupige kwamba kuna msanii hapa bongo kafanikiwa ktk show za nje[emoji38][emoji38][emoji38].
harmonize kwa mdomo wake aliwahi kusema show za nje sisi bado sana.