joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Wanaija wameishika MTV Base kama ya kwao mpaka wasanii wao wa uchochoroni wanapata promo. East Africa nina mwonaga Diamond na Sauti Sol.😅😅😅Alishapiga sana huko kashatoka kitambo palimshinda alishachukua tunzo kadhaa muda fulani aliteka soko ila akapotea mazima ,ni kwamba wanaijeria ni wabinafsi na Wana umimi hata patokee chipukizi ana nyimbo mbili ukimuweka na diamond wanachagua wa kwao ..
Pia nje kama ulivyosema wapo kibao kupeana sapot
Siku hizi MTV inaboa kinyama,wanapiga nyimbo za hovyo za wanaija.