Harmonize, Msanii anayepambana kufanya show za kimataifa lakini shida ni management yake

Wanaija wameishika MTV Base kama ya kwao mpaka wasanii wao wa uchochoroni wanapata promo. East Africa nina mwonaga Diamond na Sauti Sol.

Siku hizi MTV inaboa kinyama,wanapiga nyimbo za hovyo za wanaija.
 
Tuzo za maana hapa Africa zilikuwa Channel O, MTV Base, MTV EMA (siyo viewers choice kama ya Rayvanny ).

Tuzo nyingine zote sijui Afrimma ni Uninga ujinga tu. Hazina tofauti na Tuzo za Hbaba
 
Tuzo za maana hapa Africa zilikuwa Channel O, MTV Base, MTV EMA (siyo viewers choice kama ya Rayvanny ).

Tuzo nyingine zote sijui Afrimma ni Uninga ujinga tu. Hazina tofauti na Tuzo za Hbaba
Punguza chuki ...hapo chini umezaa maviatu makubwa kwa ubahili ,tafuta pesa
 
Amechagua mbususu immeneji so tusubirie itakapomfikisha
 
Nnemba vatandahimba Ana ng'anyaa hatari

Hua napenda ngoma ile ya kila munu ave na kwao kwa babae na *****, alikrudia ya wale wamakonde wenzie ambayo ina maidhui sawa ya narudi nyumbani ya remi ongala
 
Diamond ana Management nzuri kuliko Harmonize Accumen Mo
Siyo tu management, kamzidi kila kitu kuanzia ubunifu, aggressiveness, stage performance, connections hapo kwa kutaja vichache tu.
Of course amefanikiwa kuchota mbinu kadhaa wakati yuko WCB lakini inaoneka ni stubborn na akina Jembe hawako tayari kukosana naye kwani uwekezaji wao kwake bado haujawalipa, ujio wa Kajala kuwa ndiye bosi kwenye management team umeingiza mkanganyiko mpya na dogo bado hajielewi kama abembeleze zaidi mapenzi au mapenzi ayaweke kando apambanie career.
 
Tuzo za maana hapa Africa zilikuwa Channel O, MTV Base, MTV EMA (siyo viewers choice kama ya Rayvanny ).

Tuzo nyingine zote sijui Afrimma ni Uninga ujinga tu. Hazina tofauti na Tuzo za Hbaba
A hater is just a fan in disguise, viewers choice award(MTV EMA) ni category kama categories nyingine hivyo usilazimishe kuishusha thamani kisa tu aliyewahi kuipata unamchukia.
Categories huwekwa baada ya panel ya moguls kwenye fani husika kufanya tafiti zao na kufikia makubaliano, one irrelevant hater can't change that.
 
Kuweni Basi, miaka imeenda.
 
Mwenzio kasema nigeria wewe unasema gabon[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…