Baraza la Sanaa la Taifa limetoa siku mbili sakata la msanii wa Bongo Fleva Rajab Abdul ‘Harmonize’ na wasanii wake Ally Omar ‘Killy’ na Rashid Mganga ‘Cheed’ kuweka sawa yote waliyokubaliana katika mkataba endapo upande mmoja utasitisha mkataba kama walivyoandikishiana. Hayo yamebainishwa hapo...