LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Tundaman kwanza nani alikudanganya wewe ni msanii wa muziki?
Ni kwamba hata kutoka kwako kwenye game ulitoka kwa sababu kaka zako akina Heri Mzozo wali wa persuade akina Chidy Benz wasaidie kukutoa lakini huna kipaji chochote cha kuimba muziki wewe.
Unaweza kuimba nyimbo za maombolezo.
Melodies za nyimbo zako huwa zimekaa kimaombolezo maombolezo.
Hata ule wimbo wa Tmk feat Tiptop connection uli haribu wewe. Wimbo ni wa kurusha ila wewe umeimba kwa tune ya maombolezo.
" Aaah Temekeee haaaa Tiptop"
Kama wimbo wa msiba vile.
Jana Yanga kafungwa na Azam umekurupuka umeimba kava ya wimbo wa Harmonize " Yanga inafungwaje" Umeufanya uonekane kama wimbo wa maombolezo vile kwa sababu ya sauti yako ya kimaombolezo maombolezo.
Harmonize mshitaki huyu jamaa kwa kukuharibia wimbo wako.
Kwanza ulishawahi kuona wapi mwanaume anajiita jina " Tunda" au hii code name?
Ndio maana mweupe kama wa jina wako Tunda aliekuwa demu wa Young Dee.