McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Laizer ubunifu 0
Average...!naona Laizer karudia tena kutengeneza midundo ya matarumbeta unless hii midundo ni ya zamani maana nilimsifia sana kwenye Hallelujah,Harmonize anatabirika hataki kubadilika ni kama Mh Temba unajua tu ataimbaje hata kabla haujamsikia huwezi kuikataa video iko poa sana naona Mr Romantic kaangusha lugha ya Nyerere kwenye bridge pale imekaa poa.
Laizer ubunifu 0
wimbo haujarudiwa,sema kuna baadhi ya vionjo kahamisha kutoka ktk wimbo wake wa Moyo...kitu ambacho sio kibaya coz hiyo Moyo yenyewe haikuwa official release,ilitolewa kama bonus track tu!Nyimbo karudia mjomba kuna wimbo ye mwenyewe alitoa unaitwa moyo
najua lengo lako upate likes nyingi na qoutes!Povu ruksa
Wimbo Wa kawaida...halafu wimbo ni Wa Korelede au Harmonize...naona Korelede kamfunika jamaaa
Nadhani mtihani Wa Harmonize ni kubadili melody...nyimbo zake zote zinafanana
Halafu stail ileile ya kumuiga Chibu..ajaribu kuwa na staili yake nae...binafsi sijaona kitu hapo
Nawapenda WCB,Ila huo ndo ukweli
jipe muda wa kuisikiliza na kuitazama zaidi,utaenjoy tu...vionjo vya kwenye Moyo ndo vimeipamba hii ngoma plus hizo nakshi nakshi mpya alizojaliza humo.Huwaga nasikia nyimbo kujirudia leo ndo nmejionea. ... sijaenjoy honestly kama nmeshaisikia/iona zamani duh
Kuna wakati lazima tukubali kuwa kila producer ana flavor/touches zake...matarumbeta style ndo touches za laizer,hii ni sawa na ukisikia beats za man walter au AM records,lazima tu utazijua coz kuna mitindo flani hivi lazima ijirudie.
Average...!naona Laizer karudia tena kutengeneza midundo ya matarumbeta unless hii midundo ni ya zamani maana nilimsifia sana kwenye Hallelujah,Harmonize anatabirika hataki kubadilika ni kama Mh Temba unajua tu ataimbaje hata kabla haujamsikia huwezi kuikataa video iko poa sana naona Mr Romantic kaangusha lugha ya Nyerere kwenye bridge pale imekaa poa.
Safiiiiiiii sana kumbe watu wanamkubali jembesiwez ficha ukweli harmonize ni one man army alibebwa akabebeka sasa vitu vyake ni next level
umetisha kifimbo chezasence>>>sense
[emoji115] [emoji116] ngoma droo hapoVidio=Video
Huo wimbo uko wapi sasa?? vidio/audio?
ahaha kawaida tuumetisha kifimbo cheza
vidio kwa kiswahili sanifu mkuu baada ya hilo neno kutoholewa[emoji115] [emoji116] ngoma droo hapo
naam nimekuelewa captain[emoji61]vidio kwa kiswahili sanifu mkuu baada ya hilo neno kutoholewa
salutenaam nimekuelewa captain[emoji61]