McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Average...!naona Laizer karudia tena kutengeneza midundo ya matarumbeta unless hii midundo ni ya zamani maana nilimsifia sana kwenye Hallelujah,Harmonize anatabirika hataki kubadilika ni kama Mh Temba unajua tu ataimbaje hata kabla haujamsikia huwezi kuikataa video iko poa sana naona Mr Romantic kaangusha lugha ya Nyerere kwenye bridge pale imekaa poa.