Harmonize na Diamond kuna dalili hawapo closer kama zamani kuna tatizo

Kama yeye alitoka kwa Ruge tena kwa kejeli kubwa kwa nin na bwana mdogo asitoke akajitafutie yeye na familia yake
 
hata kama umemshika mkono mtu. haijalishi awe mtumwa wako milele.ikiwa kaweza kutembea mwenyewe. mwisho wa siku maisha lazima yaendelee!
Wabongo wanapenda sana umwinyi,sioni ubaya kila mmoja kufanya yake
 
Acha Uongo Kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa Muongo Uwe Na Kumbu²

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliemfanya a_hit ni nani kama si boss wake na menejimenti kwa ujumla?
 
Harmo mtulivu sana, domondi anapenda kunyenyekewa na kusifiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakitengana ndio safi.. wcb wamebaki kuimba matusi tu kama watoto wa mtaani.
Chalenji itakuwepo na mziki mzuri
 
Lisemwalo lipo. Hatimae yametimia😂😂
 
Yametimia mtabiri wetu
 
Asante Jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…