Kafanye wee, pesa za mtu matumizi upange wee?Pesa ambazo dogo anaharbu angefanya
Investment ya maana mahali
Tafuta hela ndg yanguu hayo mengine potezea tyu ukiyafuatilia utapoteaHakuna cha utamu wowote hapo
Ujinga mtupu
Kheeeeh hadi wee pia ndo umeandika hivi? UwiiiiihKwanini huyu dogo hajui kutawala hisia zake?
Anajua wazi pale hapendwi zaidi ya pesa yake lkn anajitutumua sana why?
Hawezi kula kimya kimya?
Unafikiri watu wote wasiofanya kama wao hawana pesa?Kafanye wee, pesa za mtu matumizi upange wee?
Tafuta pesa zako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa ajabu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kafanye wee, pesa za mtu matumizi upange wee?
Tafuta pesa zako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Invest whichi we mzee TAFTA PESA NAWEWE UZIFANYIE INVESITI YA NYOKWEPesa ambazo dogo anaharbu angefanya
Investment ya maana mahali
Cha ajabu mwanaume mzimaa, na kende zinabembea chini ya kiuno anaongea vile, tena mkavu hata hajustukiii, woiiiiiiihWatu wa ajabu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwan wao wamekatazwa au kuzuiliwa kufanya km wao? Kheeeh mbna mnapangia watu maisha yao, kuweni buzzy na maisha yenu, au mnataka maisha ya wenzenu yawe yenu.Unafikiri watu wote wasiofanya kama wao hawana pesa?
Nimewaza tu mpiga picha wa hii picha ni nani maana wapo nusu uchi hapo[emoji4]Kutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu.
Tatizo sio kumpangia mkuu ni kuwa tumechoka kuwachangia ,hawa hawakawii kuomba wananchi au serikali iwasaidia pale unga unapozidi maji, hawakawii kutuwekea namba zao za Mpesa /Tigo pesa hadharani. Swine zao.Kafanye wee, pesa za mtu matumizi upange wee?
Tafuta pesa zako, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa nawe anza basiKwan wao wamekatazwa au kuzuiliwa kufanya km wao? Kheeeh mbna mnapangia watu maisha yao, kuweni buzzy na maisha yenu, au mnataka maisha ya wenzenu yawe yenu.
Yaan niko hoi kwa kucheka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23
Weka picha hizo mbovuKutupia mapicha mabovu hadharani wengi wanasema ni usanii, lakini si sawa ukiweka maanani kuna watoto wao wanaoona kila kitu.
Ndio kina nani hao huko Daslamu?
Hv kwanini huwa mnakomaa na hizi issue za kutafuta pesa!!?Tafuta pesa bwashee.
Sidhani mkuuWamepima?
Ni wapi nimekomaa? Simple tu, tafuta hela Jeff.Hv kwanini huwa mnakomaa na hizi issue za kutafuta pesa!!?
kuna mtu ambae hatafuti pesa?