Harmonize na Kajala kama si ushamba ni nini?

Harmonize na Kajala kama si ushamba ni nini?

Wangepiga wamegeukia ukutani ndo ingekuwa picha bora sana
 
Mbona picha nzuri tu.au Sababu nimekunywa jembe energy naona vitu vinakorogana
 
Kwa bahati Harmonise akazaa na Kajala, huyo atakaezaliwa atakua anamuitaje mtoto mkubwa wa Kajala?
Dada au mama mdogo?
 
Harmo hana cha kupoteza ila huyo wa nyuma yake anatumika kwenye kiki hadi huruma.
 
Pesa ambazo dogo anaharbu angefanya
Investment ya maana mahali
 
Back
Top Bottom