Harmonize na mpenzi wake Sarah ndani ya Dubai Desert Safari, full kukimbizana mahaba ya kihindi

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani.
Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi kuimarisha mahusiano yake.

I'm nothing to say
 
hawa ndio wagombea udiwani wa kata gani?
 
hivi huyo mzungu wa jamaa huwa ana mishe gani za kumuingizia mkwanja?
Huyu nafkir anadil na cocaine chin ya maji
Aiseee au Kwa wako njema hana tabu na kaz
 
Wadau wanasema eti mzungu ana pua moja
 
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani.
Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi kuimarisha mahusiano yake.

Ahahahajahahaha ponda maisha
 
Hivi bado anaimba?
Nina mda mrefu sijasikia nyimbo zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…