Harmonize na mpenzi wake Sarah ndani ya Dubai Desert Safari, full kukimbizana mahaba ya kihindi

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani.
Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi kuimarisha mahusiano yake.

I'm nothing to say
 
Wadau wanasema eti mzungu ana pua moja
 
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani.
Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi kuimarisha mahusiano yake.

Ahahahajahahaha ponda maisha
 
Hivi bado anaimba?
Nina mda mrefu sijasikia nyimbo zake
 
Back
Top Bottom