Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani.
Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi kuimarisha mahusiano yake.
hivi huyo mzungu wa jamaa huwa ana mishe gani za kumuingizia mkwanja?I'm nothing to say
Huyu nafkir anadil na cocaine chin ya majihivi huyo mzungu wa jamaa huwa ana mishe gani za kumuingizia mkwanja?
Nafkiri huwa anamfunza mmakonde king'eng'ehivi huyo mzungu wa jamaa huwa ana mishe gani za kumuingizia mkwanja?
Ndio anapua moja hakuna binadamu wa kawaida mwenye pua mbiliWadau wanasema eti mzungu ana pua moja
inasemekana mzungu familia yao inapesa ya kitalianoNdio anapua moja hakuna binadamu wa kawaida mwenye pua mbili
akitaka kuvuta mazaga ya wakina escoba ana bana... utamalizia mwenyewe...Ndio anapua moja hakuna binadamu wa kawaida mwenye pua mbili
Harmonize msanii wa wasafi WCB aonekana na furaha sana akiwa na mpenzi wake mzungu Sarah pande za uharabuni Dubai, wakitalii jangwani.
Japo fans wanamponda kutoka na huyo mzungu yeye amezidi kuimarisha mahusiano yake.
huezi katiza mitaa mitatu hapo mjini kati bila kusikia kwangwaru ikipigwaHivi bado anaimba?
Nina mda mrefu sijasikia nyimbo zake
Kumbe hiyo!huezi katiza mitaa mitatu hapo mjini kati bila kusikia kwangwaru ikipigwa
kwa hiyo jamaa huwa anamlipa kwa kazi hiyo?Nafkiri huwa anamfunza mmakonde king'eng'e
hahaaaaNdio anapua moja hakuna binadamu wa kawaida mwenye pua mbili
anao kwagwalu ambao umuzizika za diamondHivi bado anaimba?
Nina mda mrefu sijasikia nyimbo zake