Naona imekuwa fashion siku hizi,sijui tunakwepa majukumu au kunavitu vya ziada tunapata ambavyo pengine hao manzi wa rika letu hawana?ngoja wajuzi wa mambo waje watiririke[emoji12] [emoji12][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] watoto wa sikuhz wapenda watu wazima saana
mkuu. ulikuwa unataka huyo totoz nini.Wapuuzi hawa..Yani kwenye siku ya kuzaliwa ya katoto cha watu ndo wanafanya upuuzi wao huu..Ningekuwa mimi ningewapopoa na mawe wakamalizie mambo yao ICU
Hahahaa huko fb MPAKA huruma unakuta Ni bwana mdooogo anakwambia Umkubali atakpa kitu ambacho hujawahi kupewa na mkubwa mwenzio[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Naona imekuwa fashion siku hizi,sijui tunakwepa majukumu au kunavitu vya ziada tunapata ambavyo pengine hao manzi wa rika letu hawana?ngoja wajuzi wa mambo waje watiririke[emoji12] [emoji12]
Hahaha....kitu gani special ambacho anaweza kukudanganya nacho manake siku hizi hata yale mambo yetu ya kisasa kila mtu anayajua.[emoji87] [emoji87] [emoji87]Hahahaa huko fb MPAKA huruma unakuta Ni bwana mdooogo anakwambia Umkubali atakpa kitu ambacho hujawahi kupewa na mkubwa mwenzio[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Lile pigo la dallas lilikuwa takatifu..huyo wolper anajua kuchuna muulize dallas
Unautazama huo upuuzi? Bora Mimi ninayetazama BBC SwahiliNamuona huyu Wolper kwenye kipindi cha Zamaradi(takeOne) aisee kavurugwa hatari... Inaonekana hata mi mchunga mbuzi naweza kumuopoa
Mbona dogo kashachomoawauza unga wamedhibitiwa,watumishi wa umma hawahongi kama zamani sasa magubegube yaende wap?kwa Bongo flava
next is Wema to Dogo Aslay
Ndo yapi mkuu[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaha....kitu gani special ambacho anaweza kukudanganya nacho manake siku hizi hata yale mambo yetu ya kisasa kila mtu anayajua.[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Nani huyu mcongo?!Yaan kwenye TV anamuongelea mpenzi wa zamani huku analia! Dogo hana impact
Hahaha.....mimi pia simooNdo yapi mkuu[emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ugonjwa umekaa sehemu nzuri na tamuu...Vijana wanaangamia kwa kukosa maarifa