Harmonize na Wolper mapenzi tele tele

Kumbe mkongo kamtapeli mchaga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na video ya utupu kamrekodi
Source: Wolper her self Clouds tv
 
Shairi limemaliza kila kitu hili.
 
Mapenzi wapi dogo aishiwe. Mishangingi ya mjini hiyo ipo kipesa zaidi, dogo badala ya kujijenga kimuziki anaipapatikia. Anyway Mtwara gesi bado ipo.
 
Kweli zama zimebadilika, zamani tulikua tunasema wakubwa wanafaidi ila siku hizi ni kinyume chake, kuna watu wanamponda harmonize lakini ni nani akipewa penzi na wolper atakataa? Wolper mrembo jamani kikubwa dogo asiwekeze moyo mazima mana anaweza kujikuta ameachwa akaishia kutoa albam 200 za masikitiko.
 
Umeonaee mkuu mm mwenyewe siamini navomjua wolper sio MTU wa maserenget boy nahis hii itakuwa wanatengeneza kick ili kupata attention ya mashabiki kwnye Kazi zao zinazokuja especially harmonize
khaa...we ndugu??!Sasa Kiki vipi wakati unaona mtu ananyonywa mate hadharani na kwenye take one ya zamaradi wolper keshaongea?!
 
Ngoja nifanye kautafiti kadogo kuhusu umri wa WCB Boys... Diamond v Zari the bosslady, Iyobo v Aunt Ezekiel, Harmonize v Wolper
 
Wapuuzi hawa..Yani kwenye siku ya kuzaliwa ya katoto cha watu ndo wanafanya upuuzi wao huu..Ningekuwa mimi ningewapopoa na mawe wakamalizie mambo yao ICU
Brother! brother! brother!
 
Hakula..Dallas alikuwa anahonga tu...wolper akitaka kuonana nae dallas anapiga chenga..Wolper alikuwa anataka dyudyu dallas akawa anazingua teh

Dallas atakua mgonjwa basi
 
Kuna Mahusiano Mengi yamepita ya Mastaa wa Tanzania, But kuhusu huu uhusiano Umeniuzi sana, how come Wolper anatembea na mdogo wake na Harmonizer anatembea na Dada yake, Hii imemwondolea heshima haraka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…