Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mtoto mjinga sana na hata fika mbaliView attachment 350610
Mapenzi ya kijana wa WCB anaeitwa Harmonize na mlimbwende Wolper sasa yamekuwa hadharani.
Ndiyo mtaji aliobaki nao coz movies pay less nowadays [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125]Ndo hivo...
Huyo Mcongo, dada anasema alikuta picha zake za uchi kwenye simu ya jamaa.Nani huyu mcongo?!
Unautazama huo upuuzi? Bora Mimi ninayetazama BBC Swahili
Shairi limemaliza kila kitu hili.Naomba kufanya reference Vipande vya Mashairi yafuatayo....
MOJA
Ujana kitu kitamu, tena ni azizi sana,
Maungoni mwangu humu, nilikuwa nao jana,
Kwa wingi katika damu, tahamaki leo sina,
Nasikitika hadumu, rafiki yangu ujana
MBILI
Owa siowe tambara, linukiyalo vibaya
Owa mwanamke jura, mlekeze njema ndia
Owa usiowe sura, kutaka kuzangaliya
Owa mzuri tabiya, mupendane na mkeo
TATU
Fikiri sana dunia, ina mzuri mdundo,
Fikiri sana yalia, ina mzuri mshindo,
Fikiri mwisho sikia, unapasuka msondo
Nasema fikiri mwisho na sio Mwanzo
Mkuu dawa na wewe kula vyakula vya wadogo zetuWatoto wasikuizi bwana ata adabu ya kwendea chooni hawana, mtoto mdogo kama huyu anakula chakula za kaka zake bwana.....
Hakula..Dallas alikuwa anahonga tu...wolper akitaka kuonana nae dallas anapiga chenga..Wolper alikuwa anataka dyudyu dallas akawa anazingua tehSeriously ?! Hakugonga ngozi?!
Hamna kitu mkuumkuu. ulikuwa unataka huyo totoz nini.
swissme
Inauma kuona kijana mdogo 'mhuni' kama huyu anamla demu wa ndoto zetu sisi wajanja wa town ila tuvumilieni. Life is not fair.
khaa...we ndugu??!Sasa Kiki vipi wakati unaona mtu ananyonywa mate hadharani na kwenye take one ya zamaradi wolper keshaongea?!Umeonaee mkuu mm mwenyewe siamini navomjua wolper sio MTU wa maserenget boy nahis hii itakuwa wanatengeneza kick ili kupata attention ya mashabiki kwnye Kazi zao zinazokuja especially harmonize
Brother! brother! brother!Wapuuzi hawa..Yani kwenye siku ya kuzaliwa ya katoto cha watu ndo wanafanya upuuzi wao huu..Ningekuwa mimi ningewapopoa na mawe wakamalizie mambo yao ICU
Hakula..Dallas alikuwa anahonga tu...wolper akitaka kuonana nae dallas anapiga chenga..Wolper alikuwa anataka dyudyu dallas akawa anazingua teh