Harmonize: Nampongeza Davido kwa kitendo cha kusimamisha show yake na kuiombea Tanzania

Harmonize: Nampongeza Davido kwa kitendo cha kusimamisha show yake na kuiombea Tanzania

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Harmonize moja ya msanii ambaye anaungwana kwa raia mbali na kuwa upande wa CCM, ila anaheshimu sana watanzania wezanke tofauti na yule wa Tandale.

Ndio maana hata maandamano ya Oktoba hakuna watu waliotaka kumuumiza konde, na kwahilo alilolifanya si mbaya!
===========
Staa wa Muziki #Harmonize Amefunguka na Kumpongeza Msanii kutoka Nchini Nigeria #Davido kwa kuonesha Upendo kwa Tanzania Baada ya kusimamisha Show kwa ajili ya kuliombea Taifa.
.
Mbali na hivyo #Harmonize Amesema kuwa Album yake ya #31 hana huakika kama itatoka Mwaka huu na ameshaanza kuzungumza na uongozi wake kwa ajili ya kuiachia 2026.

Soma Pia: Msanii Davido alisimamisha show yake hapo Jana kuiombea Tanzania kutokana na mauaji yaliyotokea
.
Pia Ametoa salamu za Pole kwa wote waliopoteza Maisha kwenye Machafuko ya Oktoba 29 na yanayoendelea huko Sudan na Nigeria.
 
Back
Top Bottom