Harmonize: Nampongeza Davido kwa kitendo cha kusimamisha show yake na kuiombea Tanzania

Harmonize: Nampongeza Davido kwa kitendo cha kusimamisha show yake na kuiombea Tanzania

Kazi ipo hawa wasanii wanapata pesa nyingi kupitia Watanzania harafu wameingia mtego kwenye siasa za Nchi ni mbaya sana sasa nao wanawaombea wahanga baada ya Davido kufanya hivyo aisee walikua wapi toka mwanzo...
 
Acheni ujinga, sala ya dakika moja ikoje?

Anatafuta huruma, hatutaki wasanii waendelee kuuza unga tu, waache kudanganya watu hapa.
 
Maccm si yanawalipa hata yasipofanya shoo sasa mbona yameanza kutubu hata 40 haijafika?
 
Kwanza ambao bado wame subscribe kwenye mag page yao wote ni wajinga
 
Back
Top Bottom