Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Unaongea hv kwa sababu amempongeza huyo Davido au una maana gani?Harmonize moja ya msanii ambaye anaungwana kwa raia mbali na kuwa upande wa CCM, ila anaheshimu sana watanzania wezanke tofauti na yule wa Tandale.
Labda kama umemsamehe wewe peke yako..Amekumbuka shuka kumekucha ila amesamehewa atokee a join chain D9 apige wimbo mmoja tujue pole imetoka moyoni au mdomoni.
πππππHapo Davido akimwambia njoo Nigeria fasta nimekukatia ticket na collabo ntakupa,sharti lazima utoe tigo akatai, atabeba na mafuta ya nazi mwenyewe.
sinza pazuri Hance MtanashatiHarmonize moja ya msanii ambaye anaungwana kwa raia mbali na kuwa upande wa CCM, ila anaheshimu sana watanzania wezanke tofauti na yule wa Tandale.