N ngakotecture JF-Expert Member Joined Dec 30, 2014 Posts 2,889 Reaction score 3,326 Nov 28, 2025 #21 feyzal said: Labda kama umemsamehe wewe peke yako.. Click to expand... Alishiriki hadi uapisho wa vichochoroni uyo.hamorapa
feyzal said: Labda kama umemsamehe wewe peke yako.. Click to expand... Alishiriki hadi uapisho wa vichochoroni uyo.hamorapa
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Nov 29, 2025 #22 Kazi ipo hawa wasanii wanapata pesa nyingi kupitia Watanzania harafu wameingia mtego kwenye siasa za Nchi ni mbaya sana sasa nao wanawaombea wahanga baada ya Davido kufanya hivyo aisee walikua wapi toka mwanzo...
Kazi ipo hawa wasanii wanapata pesa nyingi kupitia Watanzania harafu wameingia mtego kwenye siasa za Nchi ni mbaya sana sasa nao wanawaombea wahanga baada ya Davido kufanya hivyo aisee walikua wapi toka mwanzo...
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Nov 29, 2025 #23 Acheni ujinga, sala ya dakika moja ikoje? Anatafuta huruma, hatutaki wasanii waendelee kuuza unga tu, waache kudanganya watu hapa.
Acheni ujinga, sala ya dakika moja ikoje? Anatafuta huruma, hatutaki wasanii waendelee kuuza unga tu, waache kudanganya watu hapa.
much know JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 14,061 Reaction score 21,592 Nov 29, 2025 #24 Maccm si yanawalipa hata yasipofanya shoo sasa mbona yameanza kutubu hata 40 haijafika?
W Wolverine2 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2025 Posts 1,169 Reaction score 1,571 Nov 29, 2025 #25 Anaogopa kutembelewa na gen z!
sio lazima nikuelewe Senior Member Joined Sep 26, 2025 Posts 113 Reaction score 223 Nov 29, 2025 #26 Anatokea mlango wa nyuma 🤭🤣🤣
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,663 Reaction score 9,335 Nov 29, 2025 #27 Kwanza ambao bado wame subscribe kwenye mag page yao wote ni wajinga
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Nov 29, 2025 #28 Huyu chawa wa bi chura anafikiri tumesahau ufala wake!
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Nov 29, 2025 #29 Proved said: sinza pazuri Hance Mtanashati Click to expand... Yeye na domo wote mafala tu.