Harmonize naona umeanza kututisha sasa

Black ma colour

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
733
Reaction score
663
Hello fellas

Kwa wanaofuatilia kinachofanyika leo Tandahimba

Naona Jeshiiii kaamua kulipa sasa, kijana naona

Anaanza kutisha maana kaanza kwa vitisho.

Nimeona imetolewa kafara na kufanyiwa tambiko

Live.


Naona nyomi si haba kwa kweli .

Kila NTU AVE NA KWAO.

I like this guy, anajituma tumuunge Mkono, tukiwa

Na wasanii wengi wa sampuli hii ya jeshi na bin

Laden naona sanaa yetu Ikifika mbali.

Jeshiii kaamua kuweka kiingilio elfu kumi ili

Akasaidie hospital mtwara , Mondi wote tunajua

Kiuchumi si haba so kuweka show bure kwake ni sahihi na ni utashi wake kwa kuwa anasherehekea.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muunge peke yako hatumtaki kalale bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…