Harmonize: Natamani kwenda Marekani na Rais Samia

Kada wa CCM na mwanamuziki wa Kizazi kipya mh Harmonize amesema baada ya Rais Samia kwenda Korea na Wasanii wa maigizo ni Imani yake safari Ijayo atasafiri na Wanamuziki wa Kizazi kipya

Harmonize amesema yeye anatamani kwenda Marekani na Rais Samia

==========

Msanii Staa wa Bongofleva, Harmonize amesema uamuzi wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusafiri nao na kuwezesha Wasanii kwenda nje ya Nchi ni mzuri ambapo amesema anaamini baada ya Wasanii wa Bongomovie kwenda Korea hata Wasanii wa Bongofleva nao watapata nafasi ya kwenda Nchi mbalimbali.

Akiongea na Waandishi wa Habari leo July 10,2024 Jijini Dar es salaam wakati akiitambulisha mchezo wake mpya wa Kubashiri wa Bukua Milioni, Harmonize amesema “Rais kuja kwenye uzinduzi wa Album yangu sio kwasababu yangu tu ni kwasababu Rais anatupenda Wasanii”

“Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na Wakorea”

“Mimi najua itafika wakati wa kwenda Wasanii wa Bongofleva na tutafurahi sana kama walivyofurahi Wasanii wa Bongomovie, tupo kwenye foleni yeyote atakayebahatika kwenda atakuwa ametuwakilisha wote”
Huyu mvuta bangi akikamatwa na hayo madawa ya kulevya marekani autie kashfa msafara wa Rais, shenzi sana
 
Kada wa CCM na mwanamuziki wa Kizazi kipya mh Harmonize amesema baada ya Rais Samia kwenda Korea na Wasanii wa maigizo ni Imani yake safari Ijayo atasafiri na Wanamuziki wa Kizazi kipya.

Harmonize amesema yeye anatamani kwenda Marekani na Rais Samia.

Ameshafanya mazoea eeh ?!
 
Mama sisi wabeba box hatuhitaji maradhi wala gharama za kurudi.

sisi tukinyanyuka tu na dilimulaina tukitua pale Washington tukiacha tu mlango wa airport tunapotea hatuhitaji tena gharama zako.
 
Ngoja tusubiri subiri itafikia na sisi zamu yetu ya members wa JF kwenda na maza huko kula bata.
 
Kada wa CCM na mwanamuziki wa Kizazi kipya mh Harmonize amesema baada ya Rais Samia kwenda Korea na Wasanii wa maigizo ni Imani yake safari Ijayo atasafiri na Wanamuziki wa Kizazi kipya.

Harmonize amesema yeye anatamani kwenda Marekani na Rais Samia.

==========

Msanii Staa wa Bongofleva, Harmonize amesema uamuzi wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusafiri nao na kuwezesha Wasanii kwenda nje ya Nchi ni mzuri ambapo amesema anaamini baada ya Wasanii wa Bongomovie kwenda Korea hata Wasanii wa Bongofleva nao watapata nafasi ya kwenda Nchi mbalimbali.

Akiongea na Waandishi wa Habari leo July 10,2024 Jijini Dar es salaam wakati akiitambulisha mchezo wake mpya wa Kubashiri wa Bukua Milioni, Harmonize amesema “Rais kuja kwenye uzinduzi wa Album yangu sio kwasababu yangu tu ni kwasababu Rais anatupenda Wasanii”

“Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na Wakorea”

“Mimi najua itafika wakati wa kwenda Wasanii wa Bongofleva na tutafurahi sana kama walivyofurahi Wasanii wa Bongomovie, tupo kwenye foleni yeyote atakayebahatika kwenda atakuwa ametuwakilisha wote”
Huko Marekani anakwenda kuuza korosho au kuwakilisha nchi?
 
Haya ndio matokeo ya kushinda unazurura huku na huko duniani kufanya udalali wa maliasili za nchi ukiwa umeongozana na kundi kubwa ng'ombe! Sasa kila ng'ombe anataka kwenda huko maana wameshaona hizo ziara ni fursa tu za kula.
 
Eti Mh. Hamonize?!

Bwashee endelea kugawa vyeo kama njugu.
 
Back
Top Bottom