Harmonize naye ni mafia. Cheki alichomfanyia Angela

Mi naona suluhisho ya haya yote ni mtu ajikwamue kuanzia chini mpaka ajulikane kwa nguvu zake mwenyewe.

Hii kutegemea fulani akutoe mara nyingi inaletaga shida huko mbeleni.
Bado Tanzania ni maskini kutoa personally ni ngumu..... lazima tushikane mikono sana
 
Sitaki kubishana.. binyi mwenyewe kasema kuwa alichelewesha albamu,kinyume na mkataba..

Yote kwa yote, tunasogeza siku si vitu vya kusimamishia mishipa ya shingo.
 
Hakuna wema hapo,Huyo Anjela account zake hazina mvuto na haziingizi faida,unabaki nazo za nini?
Tofauti ya ilivyokuwa kwa Harmonize
Katika wanawake ambao huwa wananivutia kwa sauti ni Anjella. Huyu demu akipata mtu wa kumsimamia vizuri atafika mbali sana.
Hata kama hazina mvuto walizishikilia za nini?
 
Katika wanawake ambao huwa wananivutia kwa sauti ni Anjella. Huyu demu akipata mtu wa kumsimamia vizuri atafika mbali sana.
Hata kama hazina mvuto walizishikilia za nini?
Manzi ni hatari...... check Ngoma mfano "kama".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…