Harmonize naye ni mafia. Cheki alichomfanyia Angela

Harmonize naye ni mafia. Cheki alichomfanyia Angela

Mi naona suluhisho ya haya yote ni mtu ajikwamue kuanzia chini mpaka ajulikane kwa nguvu zake mwenyewe.

Hii kutegemea fulani akutoe mara nyingi inaletaga shida huko mbeleni.
Bado Tanzania ni maskini kutoa personally ni ngumu..... lazima tushikane mikono sana
 
Ww nae uwe unaelewa mkataba wa wasafi na harmonize ilikua ni kama harmonize anataka kuvunja mkataba anatakiwa alipe 500milion

Mkataba wa konde gang ni kwamba kama msanii atataka kuvunja mkataba atalipa bilion 1 ila kama lebo konde gang ndo inataka kuvunja watakulipa milion 10 usepe.

Sasa harmonize yeye ndo alivunja mkataba ndmna aliwalipq wasafi. ila hao wasanii wa konde gang hawakutaka kuondoka ktk lebo ila lebo ndo iliwavunjia mkataba ndmna hawajalipa. Je umeelewa?

Huyo dem alienda basata baada ya kunyang'anywa account zake wakati wao waliovunja mkataba walipaswa kumlipa
Sitaki kubishana.. binyi mwenyewe kasema kuwa alichelewesha albamu,kinyume na mkataba..

Yote kwa yote, tunasogeza siku si vitu vya kusimamishia mishipa ya shingo.
 
Hakuna wema hapo,Huyo Anjela account zake hazina mvuto na haziingizi faida,unabaki nazo za nini?
Tofauti ya ilivyokuwa kwa Harmonize
Katika wanawake ambao huwa wananivutia kwa sauti ni Anjella. Huyu demu akipata mtu wa kumsimamia vizuri atafika mbali sana.
Hata kama hazina mvuto walizishikilia za nini?
 
Back
Top Bottom