Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado Tanzania ni maskini kutoa personally ni ngumu..... lazima tushikane mikono sanaMi naona suluhisho ya haya yote ni mtu ajikwamue kuanzia chini mpaka ajulikane kwa nguvu zake mwenyewe.
Hii kutegemea fulani akutoe mara nyingi inaletaga shida huko mbeleni.
Mikata ya harmonize kama ya DP world na tanzania tu, baadae watu watajiuliza waliosaini mikataba ya bandari walikua vipofu?
Nimechangia thread ku-challenge anayefuatilia. Mimi sina muda mchafu wa kufuatilia wanaume wenzangu eti wanafanya mahusiano na nani!Mbona hapa unafatilia mkuu?
Sitaki kubishana.. binyi mwenyewe kasema kuwa alichelewesha albamu,kinyume na mkataba..Ww nae uwe unaelewa mkataba wa wasafi na harmonize ilikua ni kama harmonize anataka kuvunja mkataba anatakiwa alipe 500milion
Mkataba wa konde gang ni kwamba kama msanii atataka kuvunja mkataba atalipa bilion 1 ila kama lebo konde gang ndo inataka kuvunja watakulipa milion 10 usepe.
Sasa harmonize yeye ndo alivunja mkataba ndmna aliwalipq wasafi. ila hao wasanii wa konde gang hawakutaka kuondoka ktk lebo ila lebo ndo iliwavunjia mkataba ndmna hawajalipa. Je umeelewa?
Huyo dem alienda basata baada ya kunyang'anywa account zake wakati wao waliovunja mkataba walipaswa kumlipa
Ashukuru Mungu hakutolewa kafara na hao devil worshippers.mwanzoni tulikuwa tunaishi vizuri lakini sijui kwanini alibadilika na hata sikuwahi kumkosea,
Katika wanawake ambao huwa wananivutia kwa sauti ni Anjella. Huyu demu akipata mtu wa kumsimamia vizuri atafika mbali sana.Hakuna wema hapo,Huyo Anjela account zake hazina mvuto na haziingizi faida,unabaki nazo za nini?
Tofauti ya ilivyokuwa kwa Harmonize
Hii nzuriNelson Mandela ALISEMA.
"WAPUMBAVU huongezeka WEREVU wakikaa kimya".