Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani, sijajua nani kavunja mkataba..Yaaah mkuu...coz alivunja mkataba
Ila Angela alivunjiwa mkataba
Sasa kama All is Well analialia nini!???Baada ya Konde kulia mbele ya media ku justify ubaya wa mondi, kumbe nae alimfanyia Angella [emoji23][emoji23]
"Sikuwahi kuwa na mimba ya Harmonize wala hatukuwahi kuwa kwenye mahusiano na hakuwahi kunitongoza hata siku moja. Ni kweli walichukua account za YouTube na nyingine lakini account yangu ya Instagram waliniachia hawakuwahi kuichukua wala hawakunichaji pesa yoyote, na hata nilipoondoka hawakunipa hata senti tano ya kuanzia maisha[emoji24]."
"Baadae walinirudishia account zangu zote, na kwasasa zinanisaidia sana, nawashukuru sana kwa hilo[emoji120] namshukuru Mungu sasa hivi pesa zote za nyimbo zangu zinaingia kwangu moja kwa moja, angalau naishi maisha ya amani, siyo kama zamani, siwezi kusema napata shilingi ngapi lakini Alhamdulillah napata kitu tofauti na zamani."
View attachment 2667042
Ww nae uwe unaelewa mkataba wa wasafi na harmonize ilikua ni kama harmonize anataka kuvunja mkataba anatakiwa alipe 500milionBado ni wema, kwani mmakonde pamoja na kwenda basata si alitemeshwa milioni 500 na wasafi?
Mbona hapa unafatilia mkuu?Katika kitu ambacho nashukuru wazazi wangu ni kunilea kwa kujitambua. Siwezi hata siku moja kupoteza muda wangu kufuatilia ujinga unaofanywa na watu kama hawa. Nitaanzaje kufuatilia ni kahaba yupi anatembea na kipanga yupi?
wanaposaini mikataba huko aisee ivyo vipengele wanakuwa hawavioni ?
maana naamini vipi ndiyo maana hawaburuzani mahakamani kwamba mmoja ka breach terms za mkataba
waache kutafuta huruma
Demu mwenyewe mbovu 🤣🤣🤣🤣Baada ya Konde kulia mbele ya media ku justify ubaya wa mondi, kumbe nae alimfanyia Angella [emoji23][emoji23]